PLAY MORE.
EARN MORE.
Saa zako za kucheza, pointi na zawadi. Vyote mahali pamoja.
JIUNGE BURE →
- PS4dk 3 = point 1
- PS5dk 5 = point 1
- RACINGdk 15 = points 2
- VR2dk 15 = points 3
Zawadi
GERMZ Club inavyofanya kazi
- Namba yako ya uanachama inakutambulisha kwenye kila tawi. Itaje kwenye counter unapoanza kucheza.
- Dakika za kucheza zilizokamilika na kulipiwa ndizo zinazoleta pointi. Muda wa kusimamisha haupati pointi.
- Points zinahesabiwa kila session: PS4 dakika 3 = point 1, PS5 dakika 5 = point 1, Racing dakika 15 = points 2, VR2 dakika 15 = points 3. Dakika zilizobaki chini ya kipande kimoja hazihesabiwi.
- Kudai zawadi kunapunguza pointi zinazopatikana; jumla ya pointi za maisha haibadiliki.
- Malipo yakirudishwa, pointi za session hiyo zinaondolewa pia.
Levels za uanachama
Pointi ni za kukomboa zawadi. Level ni heshima: inatokana na saa ulizocheza katika miezi 12 iliyopita.
Kukusanya pointi na kuona zawadi zote.
Kusajili tournaments mapema, offers maalumu na Birthday Unlock.
Kila kitu cha Black, mialiko ya member events na priority waitlist.
Kila kitu cha Elite, kutambuliwa maalumu na appreciation experience ya kila mwaka.
Member wa Black au zaidi anaweza kukomboa birthday package maalumu siku 7 kabla au baada ya birthday yake, mara moja kwa mwaka.
Ukifikisha saa 100 kwa mara ya kwanza, unafungua surprise iliyochaguliwa kwa ajili yako: voucher, merchandise au experience.
Members 100 wa kwanza kufikisha saa 200 wanawekwa kwenye wall ya Arena, kwa ridhaa yao.
Matukio madogo ya members wa Elite na Inner Circle, kwa mwaliko na tarehe zilizopangwa.
FOUNDERS' WALL
Wa kwanza kufikisha saa 200 za kucheza.
Bado hakuna. Nafasi ya #1 iko wazi.